Sunday, August 20, 2017
Monday, August 14, 2017
LUCKEY LUCKAMO&KABOMA FILAMU YA WAWEKA PAMOJA-''ANAISH"
Baada ya kufanya vizuri katika Film mbali mbali Sasa Inakuja Film hii Nzuri iliyojaa Usaliti,Dhuruma Soon itakuwa Mtaani kwako
Sunday, August 13, 2017
Friday, August 11, 2017
SAFARI YA MERU
Stay your tone Nyuki TV online kwa Series mpya SAFARI YA MERU
Nilipoianza safari ya Meru wengi walinikatisha tamaa kwa kunisimulia matukio ya kikatili yanayo tokea Meru,lakini rafiki yangu MAPITO alinitia moyo na kusisitiza hayo yote ni ya kale,nabaki kuyasikia kwenye vinywa vya watu walio wahi kukanyaga Aridhi ya Meru,sasa nipo Meru niliyo yasikia baadhi nayashuhudia kwa mboni za macho yangu,Je unajua nini kinaendelea,Kipi kimenipata Meru,
Fuatilia Full Episod On Nyuki TV (YouTube) Usisahau Ku subscribe Nyuki TV for More Update,
STAY YOUR ("SAFARI YA MERU COMING SOON)

Thursday, August 10, 2017
USURO LIJUA KUHUSU SAFARI YA MERU
Kaboma na Dawis location kutengeneza Series Mpya, "SAFARI YA MERU".Endelea kufuatilia Nyuki TV Online ,kwa Update zote zitakazojili,Subscribe Nyuki TV (YouTube) pia Tufollow instagram,twitter, na facebook @nyukitv
NYUKITV.BLOGSPOT.COM
ALICHOKISEMA KABOMA KUHUSU SAFARI YA MERU
Kaboma afanya maandalizi ya Series yake Mpya, "SAFARI YA MERU".Endelea kufuatilia Nyuki TV Online ,kwa Update zote zitakazojili,Subscribe Nyuki TV (YouTube), pia tufollow instagram,facebook,twitter na blog yetu(https://nyukitv.blogspot.com/)
Subscribe to:
Posts (Atom)